A Closer Walk
Encourage One Another Daily - As Long As It Is Called Today! (Hebrews 3:13)

Home Today Archive Salvation About Resources Add Name
Reading Plans | Verses | Forums | Support | Spanish Devotionals
Book Store  |  Translations  Africa Ministry  |  Stacey Blog | Podcast | NEW!! Facebook !!!

 


A Closer Walk - Volume 1 Archive

English Message | Spanish Message

Mpya Kila Asubuhi

Mungu alitunda sana hata akamtoa Mwanawe kama dhabihu kwa dhambi zetu, ili kwa imani turejeshwe katika ukamilifu na uhisiano wa moyoni na Baba yetu wa Mbinguni daima. Ninafikiri mara kwa mara tunasahau kiwango cha upendo huu.Tulikuwa wafu Naye akatupa njia ya kuishi!
Maombolezo 3:22-23
“Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi, uaminifu Wako ni Mkuu.”
Mungu amedhihisha mapenzi mema na huruma kwa musamaha katika Yesu Kristo. Msamaha huu ni wote na umekamilika kwa wale waaminio. Tunapoweka tumaini letu kwa Yesu, tunaoshwa kabisa - tunakuwa, “kiumbe kipya, ya kale yamepita, tazama! yamekuwa mapya” (2 Wakorinthio 5:17). Na tunaendelea kuoshwa kabisa, “kila asubuhi.”
Sote tuna siku ambazo asili ya maumbila ya kimwili imeshinda na tukajikwaa. Tuna siku ambapo hasira, majivuno, hofu, au uzinzi, imetawala na “tukatenda tusiyoya penda” (warumi 7:16). Tunahitaji kuomba msahama na kurejesha imani kwa wale tuliowakwaza, lakini msamaha wa Mungu na upendo Wake vi wazi kwa wanaouliza; “Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wahaki hata atuondolee dhambi zetu” (1John 1:9). Tunaweza kushindwa vita vingine, bali kupitia Kristo, tumeshinda vita .
Kwa kuwa tumesafishwa kibisa - tunaendelea kusafishwa kabisa - inatupasa tuache kuende kana kwamba bado tuna uchafu. Sisi ni watoto wa Mungu na katika njia ya kugeuzwa kwa mfano wa Mwan Wake. Njia hii ya kuka na kukomaa - kwa mageuzo ya ushindi – lazima iendelee kila asubuhi. Lazima tuachilie mizigo mizito iliyotuangusha kale (na kwa hofu ya kusikitishwa baadaye) na tutembee katika upya wa msamaha wake.
Je, uhusiano wetu na Mungu ni wa kisasa na mpya? Bado tunafahamu kiwango cha upendo ulioziingukwa na kipaji cha msahama? Au tumekuwa na kupendezwa na ubaridi? Je, ni wakati gani mwisho upendo wetu ulipokuwa wa kisasa kabisa moyoni mwetu hata tusiseme ila tu AHSANTE WEWE!?
Tunaalikwa kwa uhusiano na Baba yetu wa Mbinguni - uhusiano wa ndani ambao unahuzisha kupenda na kupendwa; Uhusiano ambao unatufanya tutembee Kwa ushindi was utukufu wake na kuongozwa na nguvu ya Roho Wake. Wacha tukajipokeze kwake na kupokea Yeye. Tukasimame kwa nguvu na nia ya kufanya uhusiano wetu wa upendo mpya kila asubuhi.
Kuwa Na Siku Njema!
Steve Troxel
God's Daily Word Ministries